Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 97 (Sura 97)
1; Hakika Sisi tumeiteremsha Qur´ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
2; Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?
3; Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
4; Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.
5; Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.

Pages ( 97 of 114 ): « Previous1 ... 9596 97 9899 ... 114Next »