Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 111 (Sura 111)
1; Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
2; Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
3; Atauingia Moto wenye mwako.
4; Na mkewe, mchukuzi wa kuni,
5; Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.

Pages ( 111 of 114 ): « Previous1 ... 109110 111 112113114Next »