Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 112 (Sura 112)
1; Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2; Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3; Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4; Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Pages ( 112 of 114 ): « Previous1 ... 110111 112 113114Next »