Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 105 (Sura 105)
1; Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo?
2; Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika?
3; Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi,
4; Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni,
5; Akawafanya kama majani yaliyo liwa!

Pages ( 105 of 114 ): « Previous1 ... 103104 105 106107 ... 114Next »