Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 109 (Sura 109)
1; Sema: Enyi makafiri!
2; Siabudu mnacho kiabudu;
3; Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4; Wala sitaabudu mnacho abudu.
5; Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6; Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Pages ( 109 of 114 ): « Previous1 ... 107108 109 110111 ... 114Next »