Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 102 (Sura 102)
1; Kumekushughulisheni kutafuta wingi,
2; Mpaka mje makaburini!
3; Sivyo hivyo! Mtakuja jua!
4;
5; Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini,
6; Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!
7; Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini.
8; Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema.

Pages ( 102 of 114 ): « Previous1 ... 100101 102 103104 ... 114Next »