Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 110 (Sura 110)
1; Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
2; Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
3; Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.

Pages ( 110 of 114 ): « Previous1 ... 108109 110 111112 ... 114Next »