Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 113 (Sura 113)
1; Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,
2; Na shari ya alivyo viumba,
3; Na shari ya giza la usiku liingiapo,
4; Na shari ya wanao pulizia mafundoni,
5; Na shari ya hasidi anapo husudu.

Pages ( 113 of 114 ): « Previous1 ... 111112 113 114Next »