Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 103 (Sura 103)
1; Naapa kwa Zama!
2; Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
3; Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.

Pages ( 103 of 114 ): « Previous1 ... 101102 103 104105 ... 114Next »