Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 106 (Sura 106)
1; Kwa walivyo zoea Maqureshi,
2; Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
3; Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii,
4; Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu.

Pages ( 106 of 114 ): « Previous1 ... 104105 106 107108 ... 114Next »