Swahili Quran | Soma Kurani

Chapter 108 (Sura 108)
1; Hakika tumekupa kheri nyingi.
2; Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
3; Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.

Pages ( 108 of 114 ): « Previous1 ... 106107 108 109110 ... 114Next »